Ufafanuzi wa dalali katika Kiswahili

dalali

nominoPlural madalali

  • 1

    mtu anayenadi na kuuza vitu mnadani.

    mnadi

  • 2

    wakala wa serikali.

Asili

Kar

Matamshi

dalali

/dalali/