Ufafanuzi wa dalili katika Kiswahili

dalili

nominoPlural dalili

 • 1

  alama ya kuonyesha hali au kitendo fulani kitakachofanyika.

  ishara, isimu, taashira

 • 2

  alama iliyoachwa na kitu au watu.

  ‘Dalili ya miguu’
  asiya

Asili

Kar

Matamshi

dalili

/dalili/