Ufafanuzi wa dampo katika Kiswahili

dampo

nomino

  • 1

    sehemu ambayo uchafu na takataka kutoka sehemu mbalimbali za mji hutupwa.

Asili

Kng

Matamshi

dampo

/dampÉ”/