Ufafanuzi msingi wa dari katika Kiswahili

: dari1dari2

dari1

nominoPlural dari

  • 1

    sakafu ya juu ya nyumba, agh. iliyo juu ya ukuta wa nyumba lakini chini ya paa.

Asili

Kaj

Matamshi

dari

/dari/

Ufafanuzi msingi wa dari katika Kiswahili

: dari1dari2

dari2

nominoPlural dari

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    sehemu ya chombo cha baharini ambapo watu hukaa au kuweka mizigo.

    sitaha

Asili

Kaj

Matamshi

dari

/dari/