Ufafanuzi wa dasta katika Kiswahili

dasta

nominoPlural dasta

  • 1

    kifutio maalumu cha kufutia maandishi kwenye ubao.

    kifutio

  • 2

    kitambaa cha kufutia vumbi.

Asili

Kng

Matamshi

dasta

/dasta/