Ufafanuzi wa derereka katika Kiswahili

derereka

kitenzi sielekezi

  • 1

    tiririka kama mafuta mazito.

Matamshi

derereka

/dɛrɛrɛka/