Ufafanuzi wa dhiba katika Kiswahili

dhiba

nomino

  • 1

    vikosi vya kusaidia kuongeza nguvu au kutoa msaada, agh. katika vita au wakati wa dharura.

Matamshi

dhiba

/├░iba/