Ufafanuzi msingi wa dhiki katika Kiswahili

: dhiki1dhiki2

dhiki1

nomino

 • 1

  hali ya kutokuwa na raha.

  taabu, mashaka, udhia, kero, usumbufu

 • 2

  ukosefu wa kitu.

  shida, adha, shabuka

Asili

Kar

Matamshi

dhiki

/ðiki/

Ufafanuzi msingi wa dhiki katika Kiswahili

: dhiki1dhiki2

dhiki2

kitenzi elekezi

 • 1

  tia mashakani au taabuni.

  udhi, chusha, sunza

Matamshi

dhiki

/ðiki/