Ufafanuzi msingi wa dhili katika Kiswahili

: dhili1dhili2

dhili1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  fanya nyonge.

  tesa

 • 2

  vunjia heshima.

  tehemu, nyanyasa, fedhehesha, aibisha, dhalilisha, hizi

Asili

Kar

Matamshi

dhili

/ðili/

Ufafanuzi msingi wa dhili katika Kiswahili

: dhili1dhili2

dhili2

nominoPlural dhili

 • 1

  kivuli kitulivu cha kitu au mtu.

Asili

Kar

Matamshi

dhili

/ðili/