Ufafanuzi wa dhuku katika Kiswahili

dhuku

kitenzi elekezi

  • 1

    kishairi tia kitu mdomoni kwa ajili ya kujua ladha yake.

  • 2

    onja

Asili

Kar

Matamshi

dhuku

/├░uku/