Ufafanuzi wa dhuluma katika Kiswahili

dhuluma

nomino

  • 1

    tendo lisilo la haki.

    uonevu

Asili

Kar

Matamshi

dhuluma

/├░uluma/