Ufafanuzi wa dhumma katika Kiswahili

dhumma

nomino

  • 1

    irabu inayoandikwa juu ya herufi za hati za Kiarabu kuwakilisha vokali ya u.

Asili

Kar

Matamshi

dhumma

/├░um ma/