Ufafanuzi wa dhurika katika Kiswahili

dhurika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    pata athari mbaya kutokana na jambo fulani.

Matamshi

dhurika

/ðurika/