Ufafanuzi wa dishi katika Kiswahili

dishi

nominoPlural madishi

  • 1

    sahani kubwa ya kupakulia chakula.

  • 2

    chakula

Asili

Kng

Matamshi

dishi

/di∫i/