Ufafanuzi msingi wa dodosa katika Kiswahili

: dodosa1dodosa2dodosa3

dodosa1

kitenzi sielekezi

 • 1

  sema au soma kwa kusitasita.

  ‘Anasoma kwa kudodosa’

Matamshi

dodosa

/dɔdɔsa/

Ufafanuzi msingi wa dodosa katika Kiswahili

: dodosa1dodosa2dodosa3

dodosa2

kitenzi elekezi

 • 1

  dadisi mtu kwa kumuuliza maswali; hojihoji.

  hoji, dadisi

Matamshi

dodosa

/dɔdɔsa/

Ufafanuzi msingi wa dodosa katika Kiswahili

: dodosa1dodosa2dodosa3

dodosa3

kitenzi elekezi

 • 1

  gonga
  and → piga

 • 2

  kwangura, kwangua

Matamshi

dodosa

/dɔdɔsa/