Ufafanuzi wa dokoa katika Kiswahili

dokoa

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua kidogokidogo kwa wizi.

  • 2

    mega kidogokidogo kwa meno au mkono.

Matamshi

dokoa

/dɔkɔwa/