Ufafanuzi msingi wa doria katika Kiswahili

: doria1doria2

doria1

nominoPlural doria

  • 1

    kitambaa chepesi kama shashi.

    ‘Kanzu ya doria’

Asili

Khi

Matamshi

doria

/dɔrija/

Ufafanuzi msingi wa doria katika Kiswahili

: doria1doria2

doria2

nominoPlural doria

  • 1

    zamu ya walinzi kuzunguka sehemu za mji ili kulinda usalama.

    ‘Askari wa doria’

Asili

Kar

Matamshi

doria

/dɔrija/