Ufafanuzi wa dramumeja katika Kiswahili

dramumeja

nominoPlural madramumeja

  • 1

    mtu anayeshika kome na kuongoza katika gwaride au bendi ya jeshi au polisi.

Asili

Kng

Matamshi

dramumeja

/dramumɛʄa/