Ufafanuzi msingi wa duma katika Kiswahili

: duma1duma2

duma1

nomino

  • 1

    mnyama mkubwa na mwenye umbo kama la chui na aliye na mbio sana.

Matamshi

duma

/duma/

Ufafanuzi msingi wa duma katika Kiswahili

: duma1duma2

duma2

kitenzi elekezi

  • 1

    kamata, hasa wakati wa vita.

  • 2

    teka

Matamshi

duma

/duma/