Ufafanuzi wa dumaza katika Kiswahili

dumaza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mtu au kitu kisite kuendelea au kukua.

Matamshi

dumaza

/dumaza/