Ufafanuzi wa dumbaki katika Kiswahili

dumbaki

nominoPlural dumbaki

  • 1

    ngoma ndogo inayotengenezwa kwa kufinyanga udongo na kuwambwa ngozi upande mmoja, agh. hupigwa katika taarabu au sumsumiya.

Matamshi

dumbaki

/dumbaki/