Ufafanuzi msingi wa dumu katika Kiswahili

: dumu1dumu2

dumu1

kitenzi sielekezi~isha

 • 1

  endelea kuishi au kuwapo kwa muda wote.

  ishi

 • 2

  ‘Dumu kazini’
  fululiza, baki, endelea

Asili

Kar

Matamshi

dumu

/dumu/

Ufafanuzi msingi wa dumu katika Kiswahili

: dumu1dumu2

dumu2

nominoPlural madumu

 • 1

  chombo mfano wa kikombe kikubwa au kijagi cha kutilia maji au kitu cha majimaji, agh. hutengenezwa kwa madini ya chuma au pengine kwa kaure.

  birika

Matamshi

dumu

/dumu/