Ufafanuzi wa duni katika Kiswahili

duni

kivumishi

  • 1

    -liyo na thamani ndogo.

    ‘Mtu duni’
    hafifu, uchwara

Asili

Kar

Matamshi

duni

/duni/