Ufafanuzi wa duwaa katika Kiswahili

duwaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    shikwa na bumbuazi.

    shangaa, pumbaa, staajabu, bahashika, tunduwaa, vuvuwaa, zubaa

Matamshi

duwaa

/duwa:/