Ufafanuzi wa egama katika Kiswahili

egama

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa katika hali ya kulalia, kuegemea au kupumzika juu ya kilichosimama.

Matamshi

egama

/ɛgama/