Ufafanuzi wa ehaa! katika Kiswahili

ehaa!

kiingizi

  • 1

    neno la kuitana kwa watu walio mbalimbali, hasa hutumiwa na wavuvi.

Matamshi

ehaa!

/ɛha:/