Ufafanuzi wa eksirei katika Kiswahili

eksirei

nominoPlural eksirei

 • 1

  mionzi inayoweza kupenya vitu na kuonyesha vilivyomo ndani au kutoa picha za vitu vilivyomo.

  uyoka

 • 2

  mashine yenye mionzi hiyo.

  ‘Picha ya eksirei’
  uyoka

Asili

Kng

Matamshi

eksirei

/ɛksirɛji/