Ufafanuzi wa elimumsamiati katika Kiswahili

elimumsamiati

nominoPlural elimumsamiati

  • 1

    taaluma inayohusu muundo, maana na tabia za maneno ya lugha.

    leksikolojia

Matamshi

elimumsamiati

/ɛlimumsamijati/