Ufafanuzi wa endekeza katika Kiswahili

endekeza

transitive verb

  • 1

    acha mtu, hasa mtoto, kufanya anavyotaka bila ya kumwonya.

  • 2

    dekeza

Matamshi

endekeza

/ɛndɛkɛza/