Ufafanuzi wa epusha katika Kiswahili

epusha

kitenzi sielekezi~ia, ~ana, ~ika, ~wa

  • 1

    fanya mtu au mnyama aepuke kupatwa na madhara fulani.

Matamshi

epusha

/ɛpu∫a/