Ufafanuzi wa epuu! katika Kiswahili

epuu!

kiingizi

  • 1

    tamko linalotumiwa kuainisha kutompa mtu nguvu ya kufanya aliloambiwa afanye au ya kumtaka asiamini analoambiwa.

    nambo!

Matamshi

epuu!

/ɛpu:/