Ufafanuzi msingi wa ezeka katika Kiswahili

: ezeka1ezeka2

ezeka1

kitenzi elekezi

 • 1

  weka k.v. nyasi, mabati au makuti juu ya paa.

 • 2

  vimba

Matamshi

ezeka

/ɛzɛka/

Ufafanuzi msingi wa ezeka katika Kiswahili

: ezeka1ezeka2

ezeka2

kitenzi elekezi

 • 1

  ‘Jeuri alimwezeka makofi’
  piga
  and → zaba

Matamshi

ezeka

/ɛzɛka/