Ufafanuzi wa ezua katika Kiswahili

ezua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    ondoa k.v. makuti, nyasi au bati juu ya paa.

Matamshi

ezua

/ɛzuwa/