Ufafanuzi wa faa katika Kiswahili

faa

kitenzi sielekezi~ana, ~ika, ~lia, ~isha, ~iwa

 • 1

  toa msaada.

  fidi, timirya, juzu, saidia

 • 2

  kuwa katika hali ya kuweza kutumika; kuwa sawasawa; kuwa na maana.

  afiki, halisi, pendeza, tamia

 • 3

  tosha

Matamshi

faa

/fa:/