Ufafanuzi wa fagia katika Kiswahili

fagia

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    ondoa taka kwa kutumia ufagio, brashi, n.k..

    pea

  • 2

    maliza yote.

Matamshi

fagia

/fagija/