Ufafanuzi msingi wa fahali katika Kiswahili

: fahali1fahali2

fahali1

nominoPlural mafahali

 • 1

  ng’ombe dume; dume la mnyama.

 • 2

  mtu shujaa.

Asili

Kar

Matamshi

fahali

/fahali/

Ufafanuzi msingi wa fahali katika Kiswahili

: fahali1fahali2

fahali2

kivumishi

 • 1

  -enye nguvu.

  hodari

Asili

Kar

Matamshi

fahali

/fahali/