Ufafanuzi wa fasheni katika Kiswahili

fasheni

nominoPlural fasheni

  • 1

    mtindo pendwa wa wakati fulani k.v. wa mavazi, unyoaji wa nywele, shughuli fulani, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

fasheni

/fa∫ɛni/