Ufafanuzi msingi wa fasili katika Kiswahili

: fasili1fasili2fasili3

fasili1

kitenzi elekezi

 • 1

  eleza maana ya neno kwa lugha ya mjazo.

  pambanua, tasua, fafanua, tanzua

 • 2

  gawa maandiko kwa mafungu.

 • 3

  katakata kitambaa ili kukishona nguo.

Asili

Kar

Matamshi

fasili

/fasili/

Ufafanuzi msingi wa fasili katika Kiswahili

: fasili1fasili2fasili3

fasili2

nomino

Asili

Kar

Matamshi

fasili

/fasili/

Ufafanuzi msingi wa fasili katika Kiswahili

: fasili1fasili2fasili3

fasili3

nomino

 • 1

  hali njema.

Matamshi

fasili

/fasili/