Ufafanuzi wa Fatiha katika Kiswahili

Fatiha

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    sura ya kwanza katika Kurani Tukufu.

    ‘Piga/Tia Fatiha’

Asili

Kar

Matamshi

Fatiha

/fatiha/