Ufafanuzi wa fauka katika Kiswahili

fauka

kielezi

  • 1

    juu ya; zaidi ya.

    ‘Alikuja kukupongeza, fauka ya hayo alitaka kukukopa’

Asili

Kar

Matamshi

fauka

/fawuka/