Ufafanuzi wa faulu katika Kiswahili

faulu

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    pata yaliyokusudiwa.

    fanikiwa, fana

  • 2

    shinda mtihani.

    fuzu, pasi

Asili

Kar

Matamshi

faulu

/fawulu/