Ufafanuzi wa fia katika Kiswahili

fia

kitenzi sielekezi

  • 1

    poteza maisha kwa kupigania jambo fulani.

  • 2

    penda mtu kupita kiasi.

Asili

Kar

Matamshi

fia

/fija/