Ufafanuzi wa fichamana katika Kiswahili

fichamana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kosa kuonekana kabisa; toweka machoni kabisa.

Matamshi

fichamana

/fit∫amana/