Ufafanuzi wa fidla katika Kiswahili

fidla

nominoPlural fidla

  • 1

    ala ya muziki inayofanana na gitaa dogo na inayopigwa kwa upinde.

    vayolini

Asili

Kng

Matamshi

fidla

/fidla/