Ufafanuzi wa figa katika Kiswahili

figa

nominoPlural mafiga

  • 1

    jiwe mojawapo kati ya matatu au zaidi yanayotumiwa kutelekea chungu au sufuria jikoni.

    methali ‘Mafiga mawili hayaivishi chungu’
    jifya

Matamshi

figa

/figa/