Ufafanuzi wa filimbi katika Kiswahili

filimbi

nominoPlural filimbi

  • 1

    kitu kinachopulizwa kikatoa mlio.

    kipenga, kikorombwe

Matamshi

filimbi

/filimbi/