Ufafanuzi wa floraidi katika Kiswahili

floraidi

nomino

  • 1

    kemikali iliyo kwenye dawa ya meno inayopunguza meno kuoza na kuyafanya yang’ae na kudumu.

Asili

kng

Matamshi

floraidi

/flɔraIdi/