Ufafanuzi wa fofofo katika Kiswahili

fofofo

kielezi

  • 1

    msisitizo wa kuelezea hali ya kufa au kulala usingizi mzito au kabisa.

    ‘Kufa fofofo’
    ‘Lala fofofo’

Matamshi

fofofo

/fɔfɔfɔ/