Ufafanuzi wa fonolojia katika Kiswahili

fonolojia

nominoPlural fonolojia

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    tawi la isimu ambalo hushughulikia uchunguzi, uchambuzi na uainishaji wa mfumo wa sauti pambanuzi katika lugha mahususi.

Asili

Kng

Matamshi

fonolojia

/fɔnɔlɔʄija/