Ufafanuzi wa friji katika Kiswahili

friji

nominoPlural friji

  • 1

    chombo mfano wa kabati chenye mtambo wa kuleta baridi, cha kuhifadhia agh. vyakula.

    jokofu, jirafu

Asili

Kng

Matamshi

friji

/friʄi/